Esther Nyokabi hataisahau siku ya kwanza alipotafuta kazi ya ajira kama mfanyakazi wa nyumbani , kwani anasema haikuwa rahisikwa sababu hakuna yeyote aliyemtafutia kazi bali alichukua mkoba wake na ...
Miaka 20 ya kuwa msaidizi wa Nelson Mandela na kuwa mfano mwema maridhiano ya rangi baada ya miaka mingi ya ubaguzi nchini Afrika Kusini imefutwa katika ujumbe wa mtandao wa Twitter. Hicho ndio kisa ...
Mamlaka ya gereza nchini Guinea imetangaza kifo cha Aboubacar Diakité, anayejulikana kama Toumba, msaidizi wa zamani wa kambi ya Kapteni Moussa Dadis Camara. Alifariki usiku wa Jumanne, Machi 24, ...
Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 76 iligonga gari la zimamoto wakati ilipokuwa ikitua kwenye uwanja huo. Kwasasa uwanja huo umefungwa kwa muda kutokana na tukio hilo. Kulingana na shirika la habari la ...
Shirika la kupambana na ufisadi Ukraine limegundua mpango wa mamilioni wa utakatishaji fedha unaohumuhisha mkuu wa zamani wa utumishi wa umma wa Rais Volodymyr Zelenskiy, Andriy Yermak. Shirika hilo ...