Marekani na Iran Alhamisi ziliendelea kushikilia misimamo yao tofauti kuhusu akiba ya urani ya Tehran na udhibiti wa Mlango bahari wa Hormuz, lakini Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ...