Jessica Hayes alijinunulia mwenyewe shela, ushungi na pete ya ndoa. Lakini aliposimama altareni kufungishwa ndoa na Askofu, hakuwepo bwana harusi pembeni yake. Alikuwa akifunga ndoa na Yesu Kristo. Bi ...