News
HISIA nzuri ni kukatiza katika vitongoji vya Barcelona ukiwa umevaa fulana nyepesi. Tofauti na Ulaya nyingine Barcelona kuna ...
Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) limeiondolea adhabu ya kulifungia Shirikisho la soka la Congo Brazzaville (FECOFOOT).
Klabu ya Real Madrid imeipongeza Barcelona kwa kutwaa ubingwa wa La Liga msimu huu 2024/25. Barcelona imetwaa ubingwa baada ...
Al Ittihad ya Saudi Arabia imetangazwa kuwa bingwa mpya wa Ligi Kuu ya nchi hiyo baada ya kufikisha pointi 77.
TAARIFA mbaya kwa Simba ni Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeuondoa mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho ...
MABAO ya mbali ambayo kipa Moussa Camara amekuwa akifungwa msimu huu yamelishtua benchi la ufundi la Simba ambalo sasa ...
WAARABU ni kama wamenogewa na mastaa wa Yanga. Wameanza na Stephane Aziz KI. Kiungo mshambuliaji huyo ametajwa kuwindwa na Wydad Casablanca mwishoni mwa msimu. Kisha Clement Mzize naye ...
SIMBA imeingia siku ya tatu ikiwa Morocco, ikianza kwa kutua Jiji la Casablanca kisha jana ilisafiri kwenda Berkane, kwa ...
KOCHA Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ni miongoni wa Wanasimba walioambatana na timu hiyo kuja hapa Morocco na kukoleza mzuka kabla ...
UNAMKUMBUKA yule mwamuzi aliyekataa bao la Stephane Aziz Ki dhidi ya Mamelodi Sundowns lililozua utata mkubwa hadi kwenda ...
MASHABIKI wa soka wamekasirishwa baada ya tovuti inayomilikiwa na mmiliki mwenza wa Chelsea, Todd Boehly, kuuza tiketi za ...
ACHANA na taarifa za kushuka daraja kwa KenGold na Kagera Sugar kuna timu ambazo Ligi Kuu Bara msimu huu, kila lango lao likilengwa huwa imoo, kwa kuruhusu mabao mengi hadi sasa ligi ikisaliwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results