News

TAARIFA mbaya kwa Simba ni Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeuondoa mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho ...
MABAO ya mbali ambayo kipa Moussa Camara amekuwa akifungwa msimu huu yamelishtua benchi la ufundi la Simba ambalo sasa ...
WAARABU ni kama wamenogewa na mastaa wa Yanga. Wameanza na Stephane Aziz KI. Kiungo mshambuliaji huyo ametajwa kuwindwa na Wydad Casablanca mwishoni mwa msimu. Kisha Clement Mzize naye ...
SIMBA imeingia siku ya tatu ikiwa Morocco, ikianza kwa kutua Jiji la Casablanca kisha jana ilisafiri kwenda Berkane, kwa ...
KOCHA Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ni miongoni wa Wanasimba walioambatana na timu hiyo kuja hapa Morocco na kukoleza mzuka kabla ...
UNAMKUMBUKA yule mwamuzi aliyekataa bao la Stephane Aziz Ki dhidi ya Mamelodi Sundowns lililozua utata mkubwa hadi kwenda ...
MASHABIKI wa soka wamekasirishwa baada ya tovuti inayomilikiwa na mmiliki mwenza wa Chelsea, Todd Boehly, kuuza tiketi za ...
KIKOSI cha Yanga kinajiandaa kuondoka jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, kwenda Tanga kwa ajili ya mechi ya nusu fainali ya ...
Msimu wa 2024-25 kwa Arsenal tayari uARSENAL akili sasa ni kufanya usajili wa maana. Dirisha la usajili la majira ya kiangazi halina muda mrefu kufunguliwa na miamba hiyo ya London ...
KIKOSI cha Simba kilichokuwa kimejichimbia na kupiga tizi la siku mbili jijini Casablanca, Morocco, inajiandaa kuondoka ...
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameweka wazi kwamba hana nia ya kujiuzulu kuifundisha timu hiyo lakini anajua ...
TAARIFA za ndani kutoka Chelsea zimeweka wazi Kocha wa timu hiyo, Enzo Maresca ataendelea kuwepo msimu ujao hata kama ...